Mshambuliaji wa timu ya Ndanda
Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka
beki wa Yanga Oscar Joshua kwenye
mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo
huo uliisha kwa suluhu ya bila kufungana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment