Rais wa
Zimbabwe Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 90 amenaswa na kamera za
waandishi wa habari wakati akishuka kwenye ngazi mara baada ya kuhotubia
wafuasi wake huko harare tukio hilo limeibua mijadala upya nchini
Zimbabwe wananchi wengi wanadai Mugabe umri wake umemtupa mkono sasa
baadhi ya wapiga picha waliopiga picha za tukio hilo walilazimishwa
kufuta picha hizo Angalia video hapo chini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment