1




JINS YA KUANDA, KUPIKA NDINZI NYAMA
Na Fatuma Mzee
Ndizi ni chakula ambacho hulimwa katika  sehemu nyingi duniani tanznia ni moja kati ya sehemu ambazo zao hilo hulimwa hasa mikoani ya kilimanjalo , kagela  , Mbeya , pamoja na mkoa wa tarime  mkoani mara.
Ndizi ni zao la chakula wakati mwingine ni biashara . Zao hili hutumika kutengeneza mikate , kileo kijulikanacho kama mbege maarufu kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjalo
          Leo tunajifuza jinsi ya kuandaa na kupika ndizi kwa nyama . maarufu kama machalari kwa wenyeji wa kilimanjolo ili kuanda aina hii ya chakula unahitaji kuwa na vituvifuatavyo .
                                          MAANDALIZI
-          Katanyama na uoshe vizuri tayari kwa kubandika jikoni
-          Menya ndizi na kasha kata vipande vidogo vidogo vya saizi
-          Andaa nyanya , pilipili hoho , vitunguu thoum na maji , karoti kwa kuosha na kasha tayari kwa kuungia ndizi
-          Kuna nazi na kuhichuja matuhi mawili
                                        MAPISHI
-Bandika nyama jikoni hadi iive vizuri.
- Changanya karoti pilipli hoho , vitunguu nyanya na ndizi
-Bandika jikoni na hadi mchanganyiko huo uive vizuri .
-Weka  mafuta ya kupikia ya kutosha
-Baadae ya kuona mchanga nyiko huo umeiva vizuri weka tui  la pili .
 - Baadae weka tui la kwaza
- Pika kwa mda wa dakika tano hadi kumi
                                    Mpaka hapo chakula chetu kitakuwa tayari kwa kkuliwa chakula hiki huweza kuliwa kama mlo wa mchana au usiku unategemeea wewe mwenyewe mipangilio yako. 




Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top