
Nchini Tanzania si jambo la
ajabu kuona Watoto na wakubwa wakicheza sarakasi mitaani.lakini sifa hii
ya kuwa nchi maarufu kwa sarakasi barani Afrika inatoka wapi, Mwandishi
wa BBC alizuru Dar es Salaam kubaini hayo.
Mcheza sarakasi Raia wa Zimbabwe Winston Ruddel alianza kusaka vipaji kwa ajili ya taasisi yake iitwayo Mama Afrika, kituo chake cha kwanza kilikua jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, huko alianzisha shule ya Sarakasi, Mama Afrika
Kiukweli mnafanya vizuri muonekano wa blogg yenu ni mzuri
ReplyDelete